Gundua mwelekeo mpya wa Afrika! Karibu kwenye Jumba la makumbusho la Ouidah, nchini Benin!


Shirika la Zinsou, kwa usaidizi wa Christian Langlois-Meurinne na IDI linazindua Programu ya WAKPON - Jumba la makumbusho la kuta.


Kokote ulimwenguni, programu ya WAKPON inawatembeza watumiaji ili wagundue wale wasanii kumi wa kisasa walioko katika mkusanyiko wa jumba la makumbusho la Ouidah, kwa kuwapa kushuhudia kupya.

Kwa kutengenezwa chini ya uelekezi wa kiufundi wa Bw. Pierrick Chabi, inatumia mawezekano yanayotolewa na teknolojia inayoitwa "ukweli-uliodhabitiwa" yaani "augmented-reality".

Tengeneza jumba lako la makumbusho kwa hatua 5!


1 – Pakua picha za kiajabu

2 – Ziweke ukutani

3 – Pakua programu ya WAKPON

4 – Fungua WAKPON kwenye kompyuta kibao chako ama simu maizi  yako

5 -  Weka picha za kiajabu kwa kutumia mkondo wako

ArtSWA.html
Gundua kazi za sanaaArtSWA.html
Wakpon_Magic.html
Piga chapa picha za kiajabuWakpon_Magic.html
Wakpon.html
WakponInfo.html
iWakponInfo.html

WAKPON – Jumba la makumbusho la kuta ni programu ya Shirika la Zinsou